Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

[Download] "Jinsi ya kuanzisha biashara mpya ya duka" by Ali Mwambola " eBook PDF Kindle ePub Free

Jinsi ya kuanzisha biashara mpya ya duka

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Jinsi ya kuanzisha biashara mpya ya duka
  • Author : Ali Mwambola
  • Release Date : January 15, 2021
  • Genre: Small Business & Entrepreneurship,Books,Business & Personal Finance,Biographies & Memoirs,
  • Pages : * pages
  • Size : 1597 KB

Description

Kuna baadhi ya wajasiriamali wanadhani kuwa, unapokuwa na mtaji wa kutosha, basi unaweza kuanzisha biashara ya duka, na kupata mafanikio

Hayo ni mawazo yanayo potosha, kwa kuwa kuna taratibu ambazo zinatakiwa kufuatwa ili mafanikio yapatikane

Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kufuata, ili mjasiriamali afanikiwe kuanzisha biashara ya duka yenye mafanikio

Jambo la msingi ni kwa mjasiriamali kuhakikisha kuwa hapo anapotaka kuanzisha duka, kuna uwezekano mkubwa wa kupata wateja. Kwa sababu kama hakuna wateja, basi hakuna biashara.

Mjasiriamali anapokuwa na uhakika wa kupata wateja wa duka analotaka kufungua, basi anaweza kushughulikia taratibu nyingine zinazo pendekezwa za uanzishaji wa biashara ya duka

Ni matumaini yangu kuwa, ukimaliza kusoma hiki kitabu, utakuwa umepata elimu ya kutosha, kuhusu hatua ambazo mjasiriamali anatakiwa kuchukua anapotaka kuanzisha biashara ya duka


Free PDF Books "Jinsi ya kuanzisha biashara mpya ya duka" Online ePub Kindle


Post a Comment for "[Download] "Jinsi ya kuanzisha biashara mpya ya duka" by Ali Mwambola " eBook PDF Kindle ePub Free"